Notable lyrics from Ombi langu By Rose Muhando
Hili ni ombi langu kwako, ee Mungu wangu
Unitendee jambo jipya
Hii ni sala yangu kwako, ee Baba yangu
Unifanyie jambo jipya
Nimesubiri kuvushwa, toka nilipo
Unitendee jambo jipya
Moyo wangu watumaini, kwamba wewe unaweza
Unifanyie jambo jipya
Nimeona umetenda kwa wengi, kwenye maisha yao
Nami unitendee jambo jipya
Nimeona umeinua wengi, kwenye maisha yao
Unitendee jambo jipya
RELATED : Aniset Butati feat. Bony Mwaitege – Watakuheshimu | Download Video
One Comment on “Rose Muhando – Ombi Langu | Download Video”